Magazeti leo Oktoba 18,2024

DAR-Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inaendelea kukuza ushirikiano na wadau mbalimbali wa kodi ambapo kwa kushirikina na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekutana na Watendaji Wakuu wa Mabenki na Wakuu wa Taasisi za Kifedha nchini kwa lengo la kujadili masuala ya kikodi.
Akizungumza wakati wa kikao kilichowakutanisha viongozi hao kilichofanyika katika ukumbi wa BoT jijini Dar es Salaam, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Yusuph Mwenda, amesema kikao hicho pia ni njia mojawapo ya kujadili namna bora ya kukuza biashara kwa taasisi za kifedha na kurahisisha upatikanji wa kodi ambayo ndio msingi wa maendeleo ya Taifa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news