Magazeti leo Oktoba 20,2024

KILIMANJARO-Watu 14 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia Oktoba 19,2024 katika daraja la Kikafu wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.
Akitoa taarifa ya ajali hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Nurdin Babu amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa tatu za usiku, baada ya lori na basi dogo la kubeba abiria (Coaster) iliyokua ikitokea Moshi kuelekea Arusha, kugongana katikati ya daraja hilo ambapo watu sita walifariki papo hapo na wenginr nane walifariki wakiwa wanakimbizwa hospitali.

Majeruhi wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya KCMC, Mawenzi na Hospitali ya Hai.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news