Fanikiwa kibiashara kupitia nyota yako
DODOMA-Nimekuja kugundua ya kuwa kila Mfanyabiashara anakuwa na siri yake ya mafanikio, ni wachache sana ambazo wanaweza kuzungumza wazi wazi jinsi ambavyo wamekuza biashara zao.
Wafanyabiashara wengi kutoa siri ambazo sio za kweli kuhusu mafanikio ya biashara zao ili kutopata washindani wa kweli, unapozifuata unajikuta ukipoteza mtaji wako wakati wao wanaendelea kutajirika.
Jina langu ni Alex, mkazi wa Dodoma, mwaka 2018 nilikutana na rafiki yangu Juni ambaye amekuwa akifanya biashara kwa miaka mingi, nilitaka kujua jinsi gani amefanikiwa ili nami nipite njia hiyo.
Alinieleza mambo ya kufanya na kuzingatia, niliyashika yote na kwenda kuyatekeleza kwenye biashara yangu ya kuuza vifaa vya magari, mwanzo biashara ilianza kama kuchangamka lakini baada ya muda mambo yalianza kwenda sivyo kabisa.
Wateja walikuwa wachache sana na baada ya miezi mitatu kodi ya frem yangu ikawa imeisha muda wake, sikuwa na hela ya kulipa tena ikanibidi zile bidhaa nilizokuwa nazo nizihamishie kwa mfanyabiashara mwenzangu anisadie kuviuza.
Niliamua kurejea nyumbani kijijini kwa ajili kupumzisha akili yangu kidogo, nilipenda kuwatembelea ndugu jamaa na marafiki ambao tulikuwa hatujaonana kwa miaka mingi.
Katika mazungumzo na Babu yangu pale Moshi, nilimwambia kuwa biashara imenishinda kwani sipati wateja kabisa na kodi inaisha muda wake nikiwa sijakusanya kiasi chochote.
Babu aliniambia; "Mjukuu wangu biashara za siku hizi zina mambo mengi, unaweza kuuza chakula kumbe nyota yako ya biashara ipo kwenye kuuza vifaa vya ujenzi".
Maneno ya yule Babu niliona yana ukweli kabisa, nikamuuliza sasa Babu tunafanyaje, akaniambia niwasiliane na Dr Bokko kwa namba +255618536050 nitapata usaidizi kwani vijana wengi wa pake kijijini wamenufaika na uwepo wake.
Nilimpigia Dr Bokko na kumueleza kila kitu, aliniambia ningoje kama dakika 15 atanipigia, kweli baada ya muda huo alinipigia na kuniambia nyota yangu ya biashara ipo kwenye kuuza nyama, hivyo nifungue Bucha.
Baada ya kukaa kijijini kwa mwezi mmoja na nusu, nilirejea mjini na kufungua Bucha na kuanza kuuza nyuma, kwa kweli biashara hii ilichangamka sana.
Nilikuwa naleta kg zaidi ya 500 za nyama na zinamalizika kabla ya saa 10, wateja wangu walikuwa wengi hadi wengine wananitumia oda ya nyama usiku wa manane.
Namna biashara hii ilivyokuja kubadilisha maisha yangu, kuna wakati natamani ningekutana mapema na Dr Bokko maana amefungua mlango muhimu katika maisha yangu ambao nilikuwa nautamani kwa miaka mingi.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo