ARUSHA-Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa Cheti cha Pongezi kwa Utumishi uliotukuka katika kuwahudumia wananchi kwa Mhe. Michael Lekule Laizar ambaye alianza kuwahudumia wananchi kama Mwenyekiti wa Kijiji mwaka 1982 mpaka mwaka 1987 ambapo alichaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Mundarara na kuwatumikia wananchi kwa muda wa miaka nane.


Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo