Magazeti leo Oktoba 8,2024

DODOMA-Kamanda wa kikosi 834 KJ Makutopora, Kanali Festo Mbanga amewahamasisha Watanzania kuwapeleka watoto kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili wapate mafunzo yatakayowajengea upendo, uzalendo, ujasiriamali na ukakamavu.











Kanali Mbanga ameyasema hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na kikundi cha OPERESHENI KAMBARAGE kilichopitia mafunzo katika kikosi hicho mwaka 1990 hadi 1991 baada ya kutembelea kambini hapo na kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo upandaji wa miti.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news