Matukio katika picha wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Nane la Mwaka la TEHAMA Tanzania

DAR-Leo Oktoba 13,2024 kongamano la nane la mwaka la TEHAMA Tanzania kwa mwaka 2024 (8th Annual Tanzania ICT Conference) limeanza katika Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Zifuatazo ni baadhi ya picha katika kongamano hilo muhimu nchini;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news