Hello😊 naitwa Rehema Said, mimi ni mchezaji wa Wheelchair Tennis Tanzania pia ni mwanafunzi kutoka chuo cha Ustawi wa Jamii 😊
Kwa sasa naomba support yako ya kunipigia kura ili niweze kushinda tuzo ya TANZANIA EMERGING YOUTH AWARD katika kipengele cha OUTSTANDING FEMALE YOUTH IN SPORTS.

Link ya kupiga kura: