Mudrick Abdi Shehe ndiye mchezaji bora mwezi Septemba

ZANZIBAR-Mshambuliaji wa JKU SC, Mudrick Abdi Shehe amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya Zanzibar (PBZ Premier League) msimu wa mwaka 2024/2025.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 17,2024 na Idara ya Habari ya Bodi ya Ligi ya Zanzibar ambapo, Mudrick amewashinda uleiman Kibadeni wa Malindi SC na Abdul Nassir Mohammed wa Mlandege FC alioingia nao kwenye mchakato wa tuzo za mwezi Septemba.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news