Mwanasheria Mkuu wa Serikali yeye yupo tayari kuchagua viongozi wa Serikali ya Mtaa, wewe unakwama wapi? Nenda ukajiandikishe sasa

"Napenda kuwakumbusha watumishi wote wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali tujitokeze na kuhakikisha kwamba kabla au ifikapo tarehe 20 ambayo ndiyo siku ya mwisho tuwe tumeshajiandikisha wote ili tuweze kuwachagua viongozi wetu wa Serikali za Mitaa,"Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mheshimiwa Hamza Johari leo Oktoba 16,2024 jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news