Mwenyekiti wa RUJAT, Neville Meena atangaza majina 64 ya wanachama wapya, tazama hapa

DODOMA-Kamati ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT) katika kikao chake kilichofanyika mtandaoni Septemba 28, 2024, kwa mamlaka kiliyopewa na Mkutano Mkuu wa RUJAT, pamoja na mambo mengine kimejadili maombi 66 ya uanachama na kupitisha waombaji 64 kuwa wanachama wapya.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 3, 2024 na Mwenyekiti wa RUJAT,Neville Meena ambapo amefafanua kuwa, hatua hii imeongeza idadi ya wanachama kufikia 173.

"RUJAT inawakaribisha tuungane katika kujenga tasnia ya habari inayojali maslahi ya jamii ya vijijini. Majina ya wanachama wapya ni haya yafuatayo;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news