Ofisi ya Rais-TAMISEMI yatangaza tarehe ya kuchukua na kurudisha fomu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
DODOMA-Wadau wa vyama vya Siasa na Watanzania kwa ujumla mnajulishwa kuwa tarehe ya kuchukua na kurudisha fomu za kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi wa Serikali za Mitaa itakuwa tarehe 26 Oktoba hadi tarehe 1 Novemba 2024.