Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akizungumza na wajumbe wa kikao kazi cha kuandaa Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji wa Mashauri ya Serikali wakati akifungua kikao hicho kilichofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Mkurugenzi Msaidizi Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Mercy Kyamba akizungumza na wajumbe wa kikao kazi wakati akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi kufungua kikao hicho cha kuandaa Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji wa Mashauri ya Serikali kilichofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Mwandishi Mkuu wa Sheria Msaidizi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Nicodemas Chuwa akiwasilisha mada kuhusu Uandishi wa Sheria Ndogo wakati wa kikao kazi cha kuandaa Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji wa Mashauri ya Serikali kilichofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Wajumbe wa kikao kazi cha kuandaa Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji wa Mashauri ya Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi wakati akifungua kikao kazi hicho kilichofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akiwa kwenye picha ya pamoja wawakilishi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) baada ya kufungua Kikao kazi cha kuandaa Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji wa Mashauri ya Serikali kilichofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Tags
Dkt.Ally Possi
Habari
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Watumishi Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali