Rais Dkt.Mwinyi azindua Bandari Kavu ya Maruhubi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Bandari Kavu Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja inayoewndeshwa na Kampuni ya “Zanzibar Multipurpose Terminal.Uzinduzi huo umefanyika leo Oktoba 18,2024,kushoto kwa Rais ni Mtendaji Mkuu wa AGL Ports &Terminal Olivier De Noray, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Saiad (kulia kwa Rais) Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya “Zanzibar Multipurpose Terminal” Nicolas Escalin, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Bandari Kavu Maruhubi inaoyeondeshwa na Kampuni ya “Zanzibar Multipurpose Terminal” uzinduzi huo uliyofanyika leo 18-10-2024 katika eneo la Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la uzinduzi wa Bandari Kavu Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja, baada ya kuizindua leo 18-10-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dk.Khalid Salum Mohammed, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zanzibar Multipurpose Terminal. Nicolas Escalin (kulia kwa Rais) na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed,wakati akitembelea Bandari Kavu Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja, baada ya kuifungua leo 18-10-2024 na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news