Rais Dkt.Mwinyi kufungua Kongamano la Wazazi CCM Taifa

ZANZIBAR-Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Verde, Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 22 Oktoba 2024.
Dkt.Mwinyi atafungua Kongamano lilioandaliwa na Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa kumpongeza kwa kutimiza miaka minne ya Uongozi wa Serikali anayoiongoza ya Awamu ya nane.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news