Rais Dkt.Mwinyi mgeni rasmi Kongamano la Kimataifa la Light Upon Light

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Oktoba 12,2024 amewasili katika Uwanja wa New Amaan Complex kuhudhuria Kongamano la Kimataifa la Light Upon Light.
Kongamano hilo limehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Dini, pamoja na watoa mada mashuhuri akiwemo Mufti Menk kutoka Uingereza, Sheikh Muhammad Saleh, Sheikh Wael Ibrahim, na Sheikh Ali Hammuda

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news