Rais Dkt.Samia afanya mazungumzo na ujumbe kutoka Samsung
DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Samsung C & T Corporation, Oh Se-chul pamoja na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.