Rais Dkt.Samia atoa tuzo BoT kwa mchango chanya ununuzi wa dhahabu nchini

GEITA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa tuzo kwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa kutambua juhudi na mafanikio yake katika utekelezaji wa jukumu la ununuzi wa madini ya dhahabu kutoka kwa wafanyabiashara na wachimbaji wa dhahabu nchini.
Tuzo hiyo imekabidhiwa kwa Gavana wa BoT, Bw. Emmanuel Tutuba, wakati wa ufungaji wa Maonesho ya 7 ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika katika Viwanja vya EPZA Bombambili, mkoani Geita, kuanzia Oktoba 3 hadi 13, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news