TUSOMANE VITUONI NOVEMBA 27

DAR-Ni maneno yanayosomeka kwenye mabango yanayotumiwa na mashabiki mbalimbali wa Simba na Yanga (Watoto wa Mama) kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa Benjamini Mkapa.
Mashabiki wa Simba na Yanga wametumia mchezo wa Derby ya Kariakoo leo Oktoba 19, 2024 kuhamasishana kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mtaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 ili kupata viongozi bora kwa maendeleo ya soka kwanzia mitaani, vinapopatikana vipaji vya kweli.

#WatotoWaMama
#Novemba27TunaJamboLetu
#TusomaneVituoni

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news