VIDEO:Naibu Waziri Mwinjuma,Tanzania bado ina nafasi ya kusonga mbele AFCON 2025

DAR-Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amezungumza na Watanzania kupitia wanahabari na kuwaeleza kuwa Tanzania bado ina nafasi kwa michezo iliyobaki kama itashinda hivyo wasikatishwe tamaa na matokeo hayo.
Naibu Waziri amesema hayo leo Oktoba 15 2024 mara baada ya mchezo kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) na Timu ya Taifa ya Congo ambapo Congo imeshinda kwa magoli 2 - 0 katika mchezo huo wa kuwania nafasi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news