VIDEO:Wananchi warudisha shukrani kwa Rais Dkt.Samia kwa mnada wa korosho Lindi

LINDI-Wananchi wa Lindi wamemshukuru na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa bei nzuri ya korosho, haya yote yametokana na uzalishaji bora ambao pia umechagizwa na huduma bora za Ugani na Viuatilifu kwa wakulima vilivyotolewa kwa ruzuku kutoka serikalini.
"Asante Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhi Hassan kwa kuinua zao la Korosho,"Wakulima wanasema Asante.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news