Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi.Alice Mtulo, akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, wakati akifunga Mafunzo kuhusu Udhibiti Msongo wa Mawazo, Maandalizi ya Kustaafu katika utumishi na Uongozi na Dhana ya Ujumuishi wa Anuai za Kijamii yaliyofanyika mkoani Dodoma.

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo (aliyesisima kulia) akipokea zawadi ya kitabu cha kujiandaa kusitaafu utumishi wa umma kutoka kwa mtoa mada Dkt. Venance Shilingi mara baada ya kutoa mada kuhusu Maandalizi ya Kustaafu katika Utumishi na Uongozi kwenye mafunzo ya Baraza la Wafanyakazi yaliyofanyika mkoani Dodoma.

Tags
Habari
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Watumishi Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali