Wakili Mkuu wa Serikali atoa wito kuhusu Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji wa Mashauri ya Serikali
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akizungumza na wajumbe wa kikao kazi cha kuandaa Kanuni za Urejeshaji wa Gharama za Uendeshaji wa Mashauri ya Serikali wakati akifungua kikao hicho kilichofanyika Kibaha mkoani Pwani.Picha zaidi bofya hapa》》》