Wananchi waendelea kupata maarifa banda la BoT katika Maonesho ya Saba ya Teknolojia ya Madini mkoani Geita

GEITA-Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inashiriki Maonesho ya Saba ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika kuanzia Oktoba 3 hadi 13, 2024 katika viwanja vya Bombambili mkoani Geita.
Maonesho hayo yenye kauli mbiu "Matumizi ya Teknolojia Sahihi na Nishati Safi katika Sekta ya Madini kwa Maendeleo Endelevu" yamefunguliwa rasmi leo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko.
Aidha, Dkt. Biteko amewasihi wauzaji wa dhahabu nchini kuiuzia BoT asilimia 20 ya dhahabu zao ili kusaidia serikali kukuza akiba ya fedha za kigeni na kuimarisha Uchumi wetu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news