SINGIDA-Wananchi Wilaya ya Mkalama wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura ili waweze kupata nafasi ya kuchagua viongozi wanaowataka katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024.

Zoezi la uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari la Wapiga kura limeanza leo na litachukua muda wa siku 10 kuanzia tarehe 11-20 Oktoba 2024