ZANZIBAR-Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza Johari amekutana na kufanya mazungumzo na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Mwinyi Talib Haji, katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar iliyoko Mazizini Jijini Zanzibar, tarehe 24 Oktoba 2024.
Mazungumzo yao yalikuwa na lengo la kuimarisha mahusiano baina ya Ofisi hizo mbili.
Tags
Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar
Habari
Hamza Johari
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri