APIA-Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola umemalizika jijini Apia nchini Samoa.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameelezea kwa ufupi yaliyojiri huku Katibu Mkuu mteule wa Jumuiya ya Madola, Shirley Ayorkor Botchwey akituma salamu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan.