IRINGA-Oktoba 20,2024 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu),Mhe. William Lukuvi (Mb) Isimani ameshiriki kujiandikisha kwenye daftari la wakazi katika Kitongoji cha Msimbi kilichopo katika Kijiji cha Idodi ili kushiriki kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa.