Waziri Mkuu agawa fimbo nyeupe

KILIMANJARO-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akigawa fimbo nyeupe kwa watu wenye ulemavu wa kuona alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Fimbo Nyeupe na Miaka 60 ya Chama cha Wasioona Tanzania (TLB) ambayo kitaifa yamefanyika mkoani Kilimanjaro jana Oktoba 25, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news