DAR- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejitokeza kumjibu Makamu Mwenyekiti wake, Tundu Lissu huku kikidai kuwa anakichafua chama,hivyo kama ana ushahidi juu ya rushwa auwasilishe.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Novemba 14, 2024 na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa chama hicho John Mrema, ambapo amesisitiza kwamba CHADEMA wako mstari wa mbele katika kupambana na vitendo vya ufisadi na rushwa.
Tags
Habari