Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 11,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 244.09 na kuuzwa kwa shilingi 246.47 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 149.98 na kuuzwa kwa shilingi 151.22.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 11, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 715.42 na kuuzwa kwa shilingi 722.54 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 168.62 na kuuzwa kwa shilingi 170.11.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2829.23 na kuuzwa kwa shilingi 2857.78.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1839.79 na kuuzwa kwa shilingi 1857.45 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3582.31 na kuuzwa kwa shilingi 3517.13.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.45 na kuuzwa kwa shilingi 20.49 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.41 na kuuzwa kwa shilingi 1.51.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.69 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.90 na kuuzwa kwa shilingi 0.91.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2627.68 na kuuzwa kwa shilingi 2653.96 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8572.07 na kuuzwa kwa shilingi 8651.58.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3400.75 na kuuzwa kwa shilingi 3436.61 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.89 na kuuzwa kwa shilingi 1.96.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1889.06 na kuuzwa kwa shilingi 1907.81 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3015.13 na kuuzwa kwa shilingi 3145.53.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 11th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED715.4246722.5395718.982111-Nov-24
2ATS168.6185170.1126169.365511-Nov-24
3AUD1739.7891757.45231748.620711-Nov-24
4BEF57.517458.026557.77211-Nov-24
5BIF0.89550.88470.890111-Nov-24
6BWP196.8135200.6394198.726411-Nov-24
7CAD1889.06051907.8141898.437211-Nov-24
8CHF3015.1273043.53213029.329511-Nov-24
9CNY366.5597370.0962368.32811-Nov-24
10CUC109.4868110.5817110.034211-Nov-24
11DEM1052.88421196.82531124.854711-Nov-24
12DKK379.4598383.1991381.329411-Nov-24
13DZD19.739419.85519.797211-Nov-24
14ESP13.945114.068214.006711-Nov-24
15EUR2829.22652857.78412843.505311-Nov-24
16FIM390.2345393.6925391.963511-Nov-24
17FRF353.7205356.8494355.284911-Nov-24
18GBP3400.74763436.61283418.680211-Nov-24
19HKD337.9961341.3717339.683911-Nov-24
20INR31.153631.444731.299111-Nov-24
21IQD2.00742.02442.015911-Nov-24
22IRR0.06260.06320.062911-Nov-24
23ITL1.19831.20891.203611-Nov-24
24JPY17.237517.408717.323111-Nov-24
25KES20.448920.493920.471411-Nov-24
26KRW1.8931.91091.90211-Nov-24
27KWD8572.07278651.58438611.828511-Nov-24
28MWK1.40791.51571.461811-Nov-24
29MYR599.9277605.236602.581811-Nov-24
30MZM40.777241.121240.949211-Nov-24
31NAD149.857151.3297150.593411-Nov-24
32NGN1.58181.57491.578411-Nov-24
33NLG1052.88421062.22131057.552811-Nov-24
34NOK240.2915242.6123241.451911-Nov-24
35NZD1574.50781590.51821582.51311-Nov-24
36PKR8.99029.54739.268711-Nov-24
37QAR721.1579727.9699724.563911-Nov-24
38RWF1.88931.96311.926211-Nov-24
39SAR699.6893706.5921703.140711-Nov-24
40SDR3482.31223517.13543499.723811-Nov-24
41SEK244.0882246.4742245.281211-Nov-24
42SGD1985.85492005.56191995.708411-Nov-24
43TRY76.487577.236476.86211-Nov-24
44UGX0.69020.72410.707211-Nov-24
45USD2627.68322653.962640.821611-Nov-24
46GOLD7071857.43417143929.5287107893.48111-Nov-24
47ZAR149.9793151.2202150.599811-Nov-24
48ZMK93.787196.395595.091311-Nov-24
49ZWD0.49170.50170.496711-Nov-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news