Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 12,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1888.39 na kuuzwa kwa shilingi 1906.72 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2991.06 na kuuzwa kwa shilingi 3020.62.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 12, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 241.92 na kuuzwa kwa shilingi 244.31 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 147.44 na kuuzwa kwa shilingi 148.89.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 716.15 na kuuzwa kwa shilingi 723.29 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 168.79 na kuuzwa kwa shilingi 170.28.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2803.15 na kuuzwa kwa shilingi 2831.45.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1831.81 na kuuzwa kwa shilingi 1849.39 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3491.59 na kuuzwa kwa shilingi 3526.50.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.47 na kuuzwa kwa shilingi 20.51 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.41 na kuuzwa kwa shilingi 1.52.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.69 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.90 na kuuzwa kwa shilingi 0.91.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2630.34 na kuuzwa kwa shilingi 2656.64 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8562.57 na kuuzwa kwa shilingi 8645.38.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3388.92 na kuuzwa kwa shilingi 3423.08 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.89 na kuuzwa kwa shilingi 1.96.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 12th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED716.1471723.2889719.71812-Nov-24
2ATS168.7888170.2843169.536612-Nov-24
3AUD1731.81361749.39741740.605512-Nov-24
4BEF57.575558.085157.830312-Nov-24
5BIF0.89670.88550.891112-Nov-24
6CAD1888.38871906.7251897.556912-Nov-24
7CHF2991.05833020.62543005.841812-Nov-24
8CNY365.426368.9265367.176312-Nov-24
9DEM1053.94741198.03381125.990612-Nov-24
10DKK375.9127379.6502377.781512-Nov-24
11ESP13.959214.082414.020812-Nov-24
12EUR2803.14982831.44692817.298312-Nov-24
13FIM390.6286394.0901392.359312-Nov-24
14FRF354.0776357.2097355.643712-Nov-24
15GBP3388.92573423.08063406.003212-Nov-24
16HKD338.3287341.6988340.013812-Nov-24
17INR31.182131.473431.327812-Nov-24
18ITL1.19951.21011.204812-Nov-24
19JPY17.101217.271117.186212-Nov-24
20KES20.469520.514620.492112-Nov-24
21KRW1.8821.91.89112-Nov-24
22KWD8562.57258645.38388603.978112-Nov-24
23MWK1.40941.51721.463312-Nov-24
24MYR596.8542602.0032599.428712-Nov-24
25MZM40.818441.162740.990512-Nov-24
26NLG1053.94741063.2941058.620712-Nov-24
27NOK237.7125240.0267238.869612-Nov-24
28NZD1569.52191585.48281577.502312-Nov-24
29PKR8.9959.55979.277412-Nov-24
30RWF1.89231.9651.928612-Nov-24
31SAR700.3399707.268703.803912-Nov-24
32SDR3491.58783526.50363509.045712-Nov-24
33SEK241.9257244.3134243.119512-Nov-24
34SGD1974.13441993.72611983.930212-Nov-24
35UGX0.69030.72430.707312-Nov-24
36USD2630.33662656.642643.488312-Nov-24
37GOLD6994564.8737065599.7447030082.30812-Nov-24
38ZAR147.4396148.8914148.165512-Nov-24
39ZMW93.975297.670695.822912-Nov-24
40ZWD0.49220.50220.497212-Nov-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news