Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 13,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3376.70 na kuuzwa kwa shilingi 3410.72 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.89 na kuuzwa kwa shilingi 1.96.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 13, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1888.00 na kuuzwa kwa shilingi 1906.74 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2990.28 na kuuzwa kwa shilingi 3019.84.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 242.21 na kuuzwa kwa shilingi 244.60 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 145.88 na kuuzwa kwa shilingi 147.30.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 717.18 na kuuzwa kwa shilingi 724.33 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 169.03 na kuuzwa kwa shilingi 170.53.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2796.14 na kuuzwa kwa shilingi 2824.36.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1824.31 na kuuzwa kwa shilingi 1841.81 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3478.75 na kuuzwa kwa shilingi 3513.54.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.47 na kuuzwa kwa shilingi 20.51 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.41 na kuuzwa kwa shilingi 1.52.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.69 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.90 na kuuzwa kwa shilingi 0.91.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2634.14 na kuuzwa kwa shilingi 2660.48 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8571.60 na kuuzwa kwa shilingi 8651.69.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 13th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED717.1822724.3343720.758313-Nov-24
2ATS169.0327170.5305169.781613-Nov-24
3AUD1724.30711741.81631733.061713-Nov-24
4BEF57.658758.169157.913913-Nov-24
5BIF0.89740.88680.892113-Nov-24
6BWP193.3458195.8113194.578613-Nov-24
7CAD1888.00071906.74411897.372413-Nov-24
8CHF2990.28113019.84113005.061113-Nov-24
9CNY364.2791367.8456366.062313-Nov-24
10CUC109.7558110.8533110.304613-Nov-24
11DEM1055.47091199.76551127.618213-Nov-24
12DKK374.897378.6298376.763413-Nov-24
13DZD19.780719.896519.838613-Nov-24
14ESP13.979414.102714.041113-Nov-24
15EUR2796.13812824.36562810.251913-Nov-24
16FIM391.1932394.6597392.926513-Nov-24
17FRF354.5894357.726356.157713-Nov-24
18GBP3376.70233410.73543393.718813-Nov-24
19HKD338.6435342.0256340.334513-Nov-24
20INR31.22931.520831.374913-Nov-24
21IQD2.01232.02942.020813-Nov-24
22IRR0.06270.06330.06313-Nov-24
23ITL1.20131.21191.206613-Nov-24
24JPY17.101517.271417.186413-Nov-24
25KES20.467320.512620.489913-Nov-24
26KRW1.87381.89151.882613-Nov-24
27KWD8571.60078651.68618611.643413-Nov-24
28MWK1.41141.521.465713-Nov-24
29MYR594.0773599.2072596.642213-Nov-24
30MZM40.877441.222241.049813-Nov-24
31NAD145.8775147.3126146.59513-Nov-24
32NGN1.57991.5731.576513-Nov-24
33NLG1055.47091064.83091060.150913-Nov-24
34NOK238.4289240.726239.577513-Nov-24
35NZD1567.04911582.98561575.017313-Nov-24
36PKR9.00649.57019.288213-Nov-24
37QAR722.9098729.7383726.32413-Nov-24
38RWF1.89151.96581.928713-Nov-24
39SAR701.1842708.1583704.671313-Nov-24
40SDR3478.74883513.53633496.142613-Nov-24
41SEK242.2107244.6014243.40613-Nov-24
42SGD1968.86061988.40061978.630613-Nov-24
43TRY76.618177.373776.995913-Nov-24
44UGX0.6890.7230.70613-Nov-24
45USD2634.13862660.482647.309313-Nov-24
46GOLD6863564.2556933237.48486898400.869913-Nov-24
47ZAR145.8872147.3003146.593813-Nov-24
48ZMK93.93897.632395.785213-Nov-24
49ZWD0.49290.50290.497913-Nov-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news