Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 15,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.69 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.88 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 14, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2633.56 na kuuzwa kwa shilingi 2659.39 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8563.07 na kuuzwa kwa shilingi 8643.08.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3333.98 na kuuzwa kwa shilingi 3469.45 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.89 na kuuzwa kwa shilingi 1.96.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1878.88 na kuuzwa kwa shilingi 1897.53 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2961.49 na kuuzwa kwa shilingi 2990.77.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 239.23 na kuuzwa kwa shilingi 241.56 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 143.68 na kuuzwa kwa shilingi 145.07.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 716.89 na kuuzwa kwa shilingi 724.04 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 168.96 na kuuzwa kwa shilingi 170.46.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2774.94 na kuuzwa kwa shilingi 2803.26.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1702.79 na kuuzwa kwa shilingi 1720.07 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3470.66 na kuuzwa kwa shilingi 3505.37.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.45 na kuuzwa kwa shilingi 20.49 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.41 na kuuzwa kwa shilingi 1.52.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 14th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED716.8884724.0376720.46315-Nov-24
2ATS168.9635170.4606169.71215-Nov-24
3AUD1702.79951720.09351711.446515-Nov-24
4BEF57.635158.145357.890215-Nov-24
5BIF0.8970.88650.891715-Nov-24
6BWP191.4234194.1355192.779415-Nov-24
7CAD1878.87781897.53121888.204515-Nov-24
8CHF2961.48852990.7672976.127715-Nov-24
9CNY363.6822367.243365.462615-Nov-24
10CUC109.7108110.8079110.259415-Nov-24
11DEM1055.03841199.2741127.156215-Nov-24
12DKK372.0745375.774373.924215-Nov-24
13DZD19.793319.793319.793315-Nov-24
14ESP13.973714.09714.035315-Nov-24
15EUR2774.98132803.2632789.122215-Nov-24
16FIM391.0329394.498392.765515-Nov-24
17FRF354.4442357.5795356.011815-Nov-24
18GBP3333.97983369.44713351.713515-Nov-24
19HKD338.3264341.7053340.015915-Nov-24
20INR31.189631.48131.335315-Nov-24
21IQD2.01152.02852.0215-Nov-24
22IRR0.06270.06330.06315-Nov-24
23ITL1.20081.21141.206115-Nov-24
24JPY16.880817.048516.964615-Nov-24
25KES20.450920.496320.473615-Nov-24
26KRW1.87711.89331.885215-Nov-24
27KWD8563.07338643.08238603.077815-Nov-24
28MWK1.41081.51881.464815-Nov-24
29MYR587.999593.2166590.607815-Nov-24
30MZM40.860641.205341.03315-Nov-24
31NAD143.7495145.084144.416815-Nov-24
32NGN1.57871.57181.575215-Nov-24
33NLG1055.03841064.39461059.716515-Nov-24
34NOK236.0578238.3585237.208215-Nov-24
35NZD1544.28931559.99821552.143815-Nov-24
36PKR9.00769.5739.290315-Nov-24
37QAR722.4748729.2993725.887115-Nov-24
38RWF1.89151.96421.927815-Nov-24
39SAR700.9342707.9059704.4215-Nov-24
40SDR3470.66193505.36863488.015215-Nov-24
41SEK239.2277241.5651240.396415-Nov-24
42SGD1957.51941976.361966.939715-Nov-24
43TRY76.644577.388477.016415-Nov-24
44UGX0.68970.72360.706715-Nov-24
45USD2633.05942659.392646.224715-Nov-24
46GOLD6719225.30626787348.34586753286.82615-Nov-24
47ZAR143.6812145.0729144.377115-Nov-24
48ZMK93.214196.881295.047715-Nov-24
49ZWD0.49270.50270.497715-Nov-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news