Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 20,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1707.50 na kuuzwa kwa shilingi 1725.37 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3450.73 na kuuzwa kwa shilingi 3485.24.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 20, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.38 na kuuzwa kwa shilingi 20.42 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.41 na kuuzwa kwa shilingi 1.52.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2628.95 na kuuzwa kwa shilingi 2655.24 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8553.60 na kuuzwa kwa shilingi 8636.33.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3321.42 na kuuzwa kwa shilingi 3355.96 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.88 na kuuzwa kwa shilingi 1.96.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1875.54 na kuuzwa kwa shilingi 1893.76 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2977.63 na kuuzwa kwa shilingi 3006.73.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 239.79 na kuuzwa kwa shilingi 242.16 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 145.67 na kuuzwa kwa shilingi 147.08.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 715.81 na kuuzwa kwa shilingi 722.85 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 168.69 na kuuzwa kwa shilingi 170.19.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2778.27 na kuuzwa kwa shilingi 2806.85.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 20th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED715.8087722.8487719.328720-Nov-24
2ATS168.6998170.1946169.447220-Nov-24
3AUD1707.50331725.3751716.439120-Nov-24
4BEF57.545258.054557.799820-Nov-24
5BIF0.89530.88510.890220-Nov-24
6BWP192.7021195.1601193.931120-Nov-24
7CAD1875.54431893.75941884.651820-Nov-24
8CHF2977.63113006.72632992.178720-Nov-24
9CNY363.21366.7864364.998220-Nov-24
10CUC109.5396110.635110.087320-Nov-24
11DEM1053.3921197.40251125.397320-Nov-24
12DKK372.5256376.1709374.348320-Nov-24
13DZD19.785219.771419.778320-Nov-24
14ESP13.951914.07514.013420-Nov-24
15EUR2778.27492806.85422792.564520-Nov-24
16FIM390.4227393.8824392.152620-Nov-24
17FRF353.8911357.0215355.456320-Nov-24
18GBP3321.41613355.95783338.686920-Nov-24
19HKD337.7594341.1326339.44620-Nov-24
20INR31.151331.442331.296820-Nov-24
21IQD2.00842.02542.016920-Nov-24
22IRR0.06260.06320.062920-Nov-24
23ITL1.19891.20951.204220-Nov-24
24JPY17.063417.229517.146420-Nov-24
25KES20.379520.424920.402220-Nov-24
26KRW1.88831.90591.897120-Nov-24
27KWD8553.6058636.33118594.968120-Nov-24
28MWK1.40861.51641.462520-Nov-24
29MYR588.0006593.3497590.675120-Nov-24
30MZM40.809541.153840.981620-Nov-24
31NAD145.6644147.0974146.380920-Nov-24
32NGN1.57731.57051.573920-Nov-24
33NLG1053.3921062.73361058.062820-Nov-24
34NOK238.2936240.5784239.43620-Nov-24
35NZD1547.13741563.40531555.271320-Nov-24
36PKR8.99039.55129.270820-Nov-24
37QAR721.8425727.463724.652820-Nov-24
38RWF1.88461.95811.921320-Nov-24
39SAR700.3251707.253703.789120-Nov-24
40SDR3450.73193485.23933467.985620-Nov-24
41SEK239.7999242.1582240.97920-Nov-24
42SGD1963.07531981.81821972.446820-Nov-24
43TRY76.075176.819476.447320-Nov-24
44UGX0.68580.71960.702720-Nov-24
45USD2628.95052655.242642.095220-Nov-24
46GOLD6930176.47001336.8326965756.61620-Nov-24
47ZAR145.6724147.0835146.37820-Nov-24
48ZMK92.394396.030494.212320-Nov-24
49ZWD0.4920.50190.496920-Nov-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news