Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 22,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 715.21 na kuuzwa kwa shilingi 722.28 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 168.56 na kuuzwa kwa shilingi 170.06.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 22, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2766.57 na kuuzwa kwa shilingi 2794.76.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1713.74 na kuuzwa kwa shilingi 1731.41 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3449.25 na kuuzwa kwa shilingi 3483.74.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.36 na kuuzwa kwa shilingi 20.41 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.41 na kuuzwa kwa shilingi 1.52.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2626.82 na kuuzwa kwa shilingi 2653.09 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8545.57 na kuuzwa kwa shilingi 8625.41.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3322.14 na kuuzwa kwa shilingi 3356.41 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.89 na kuuzwa kwa shilingi 1.96.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1881.27 na kuuzwa kwa shilingi 1899.95 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2975.22 na kuuzwa kwa shilingi 3001.61.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 238.42 na kuuzwa kwa shilingi 240.77 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 145.87 na kuuzwa kwa shilingi 147.25.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 22nd,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED715.2096722.283718.746322-Nov-24
2ATS168.5632170.0568169.3122-Nov-24
3AUD1713.73851731.40651722.572522-Nov-24
4BEF57.498658.007557.75322-Nov-24
5BIF0.89440.88440.889422-Nov-24
6BWP192.0207195.798193.909422-Nov-24
7CAD1881.27321899.94991890.611522-Nov-24
8CHF2975.22013003.61152989.415822-Nov-24
9CNY362.8758366.4489364.662422-Nov-24
10CUC109.4509110.5454109.998222-Nov-24
11DEM1052.53911196.43291124.48622-Nov-24
12DKK370.9676374.6509372.809222-Nov-24
13DZD19.703919.819319.761622-Nov-24
14ESP13.940614.063614.002122-Nov-24
15EUR2766.56872794.7652780.666922-Nov-24
16FIM390.1066393.5635391.83522-Nov-24
17FRF353.6045356.7324355.168422-Nov-24
18GBP3322.14153356.42423339.282822-Nov-24
19HKD337.5033340.8739339.188622-Nov-24
20INR31.111731.402331.25722-Nov-24
21IQD2.00672.02372.015222-Nov-24
22IRR0.06250.06320.062922-Nov-24
23ITL1.19791.20851.203222-Nov-24
24JPY17.041817.207717.124822-Nov-24
25KES20.36320.408420.385722-Nov-24
26KRW1.88291.90061.891822-Nov-24
27KWD8545.56688625.41048585.488622-Nov-24
28MWK1.40751.51521.461322-Nov-24
29MYR588.9735593.5324591.25322-Nov-24
30MZM40.763841.107740.935822-Nov-24
31NAD145.9062147.3407146.623422-Nov-24
32NGN1.57381.5671.570422-Nov-24
33NLG1052.53911061.87311057.206122-Nov-24
34NOK237.9454240.2378239.091622-Nov-24
35NZD1542.99511559.2211551.108122-Nov-24
36PKR8.97989.54359.261622-Nov-24
37QAR720.4668727.2725723.869622-Nov-24
38RWF1.88711.95651.921822-Nov-24
39SAR699.6649706.5862703.125622-Nov-24
40SDR3449.25533483.74793466.501622-Nov-24
41SEK238.4227240.7719239.597322-Nov-24
42SGD1956.811975.93651966.373322-Nov-24
43TRY76.195276.935176.565122-Nov-24
44UGX0.68340.71710.700222-Nov-24
45USD2626.82182653.092639.955922-Nov-24
46GOLD7001268.0967073403.2497037335.672522-Nov-24
47ZAR145.8754147.2524146.563922-Nov-24
48ZMK92.319595.952694.13622-Nov-24
49ZWD0.49160.50150.496522-Nov-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news