Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 26,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1876.27 na kuuzwa kwa shilingi 1894.63 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2948.12 na kuuzwa kwa shilingi 2976.27.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 26, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 239.03 na kuuzwa kwa shilingi 241.22 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 144.94 na kuuzwa kwa shilingi 146.35.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 712.92 na kuuzwa kwa shilingi 720.00 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 168.03 na kuuzwa kwa shilingi 169.52.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2747.88 na kuuzwa kwa shilingi 2775.89.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1705.44 na kuuzwa kwa shilingi 1723.29 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3422.09 na kuuzwa kwa shilingi 3457.32.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.29 na kuuzwa kwa shilingi 20.34 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.40 na kuuzwa kwa shilingi 1.50.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2618.52 na kuuzwa kwa shilingi 2644.71 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8511.37 na kuuzwa kwa shilingi 8593.69.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3392.27 na kuuzwa kwa shilingi 3326.25 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.89 na kuuzwa kwa shilingi 1.96.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 26th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED712.9505720.0016716.476126-Nov-24
2ATS168.0308169.5197168.775226-Nov-24
3AUD1705.44521723.2931714.369126-Nov-24
4BEF57.316957.824357.570626-Nov-24
5BIF0.89140.88160.886526-Nov-24
6BWP191.4142194.3862192.900226-Nov-24
7CAD1876.27171894.62711885.449426-Nov-24
8CHF2948.12512976.2662962.195626-Nov-24
9CNY361.5498365.0897363.319826-Nov-24
10CUC109.1052110.1963109.650726-Nov-24
11DEM1049.21461192.65391120.934226-Nov-24
12DKK368.4897372.1013370.295526-Nov-24
13DZD19.654519.654419.654426-Nov-24
14ESP13.896514.019113.957826-Nov-24
15EUR2747.87992775.88762761.883726-Nov-24
16FIM388.8744392.3204390.597426-Nov-24
17FRF352.4876355.6056354.046626-Nov-24
18GBP3292.27123326.25183309.261526-Nov-24
19HKD336.5454339.8977338.221526-Nov-24
20INR31.076731.36731.221926-Nov-24
21IQD2.00042.01732.008926-Nov-24
22IRR0.06230.0630.062726-Nov-24
23ITL1.19411.20471.199426-Nov-24
24JPY17.004517.170117.087326-Nov-24
25KES20.298620.343920.321326-Nov-24
26KRW1.86981.88811.87926-Nov-24
27KWD8511.37588593.69628552.53626-Nov-24
28MWK1.4031.51041.456726-Nov-24
29MYR588.6971593.5166591.106926-Nov-24
30MZM40.647740.990540.819126-Nov-24
31NAD144.9333146.3592145.646226-Nov-24
32NGN1.56871.56191.565326-Nov-24
33NLG1049.21461058.51911053.866826-Nov-24
34NOK237.3034239.4009238.352226-Nov-24
35NZD1532.62251548.74221540.682426-Nov-24
36PKR8.95639.52029.238226-Nov-24
37QAR719.3156724.5185721.917126-Nov-24
38RWF1.90351.95131.927426-Nov-24
39SAR697.3435704.2419700.792726-Nov-24
40SDR3423.09163457.32253440.207126-Nov-24
41SEK239.0299241.222240.12626-Nov-24
42SGD1945.70131963.99081954.84626-Nov-24
43TRY75.712176.447176.079626-Nov-24
44UGX0.67940.71290.696126-Nov-24
45USD2618.52482644.712631.617426-Nov-24
46GOLD7024506.87157095545.35327060026.112326-Nov-24
47ZAR144.9405146.3486145.644626-Nov-24
48ZMK92.194995.822894.008926-Nov-24
49ZWD0.490.49990.49526-Nov-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news