Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 4,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.74 na kuuzwa kwa shilingi 21.79 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.43 na kuuzwa kwa shilingi 1.54.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 4, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.70 na kuuzwa kwa shilingi 0.73 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.91 na kuuzwa kwa shilingi 0.92.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2665.66 na kuuzwa kwa shilingi 2692.35 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8708.57 na kuuzwa kwa shilingi 8767.01.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3456.87 na kuuzwa kwa shilingi 3591.71 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.95 na kuuzwa kwa shilingi 1.99.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1915.97 na kuuzwa kwa shilingi 1934.94 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3071.43 na kuuzwa kwa shilingi 3101.78.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 249.45 na kuuzwa kwa shilingi 251.87 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 151.78 na kuuzwa kwa shilingi 153.27.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 725.77 na kuuzwa kwa shilingi 732.99 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 171.06 na kuuzwa kwa shilingi 172.57.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.51 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2896.54 na kuuzwa kwa shilingi 2925.78.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1753.49 na kuuzwa kwa shilingi 1772.37 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3549.72 na kuuzwa kwa shilingi 3585.21.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 4th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED725.7734732.9912729.382304-Nov-24
2ATS171.0576172.5733171.815404-Nov-24
3AUD1753.49291772.3741762.933504-Nov-24
4BEF58.349458.865958.607704-Nov-24
5BIF0.91570.91920.917404-Nov-24
6CAD1915.97291934.99351925.483204-Nov-24
7CHF3071.42883101.78573086.607304-Nov-24
8CNY374.5003378.1444376.322304-Nov-24
9DEM1068.11441214.13751141.12604-Nov-24
10DKK388.4944392.3565390.425404-Nov-24
11ESP14.146914.271714.209304-Nov-24
12EUR2896.54212925.77672911.159404-Nov-24
13FIM395.8793399.3873397.633304-Nov-24
14FRF358.8371362.0112360.424204-Nov-24
15GBP3456.87083491.70873474.289704-Nov-24
16HKD342.7486346.1716344.460104-Nov-24
17INR31.723532.019831.871604-Nov-24
18ITL1.21561.22641.22104-Nov-24
19JPY17.489117.662917.57604-Nov-24
20KES20.744720.790320.767504-Nov-24
21KRW1.93781.95511.946504-Nov-24
22KWD8708.56938767.0148737.791704-Nov-24
23MWK1.42831.53821.483204-Nov-24
24MYR609.3013614.4112611.856304-Nov-24
25MZM41.367141.71641.541504-Nov-24
26NLG1068.11441077.58661072.850504-Nov-24
27NOK242.2146244.5434243.37904-Nov-24
28NZD1595.68391611.90991603.796904-Nov-24
29PKR9.12029.68549.402804-Nov-24
30RWF1.95181.99621.97404-Nov-24
31SAR710.1886716.4316713.310104-Nov-24
32SDR3549.71853585.21573567.467104-Nov-24
33SEK249.4519251.8687250.660304-Nov-24
34SGD2014.73292034.72642024.729604-Nov-24
35UGX0.70020.73460.717404-Nov-24
36USD2665.69312692.352679.021504-Nov-24
37GOLD7354647.1787429539.8257392093.50204-Nov-24
38ZAR151.7798153.2679152.523804-Nov-24
39ZMW96.4822100.273798.37804-Nov-24
40ZWD0.49880.50890.503904-Nov-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news