Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 5,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1756.86 na kuuzwa kwa shilingi 1774.69 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3542.14 na kuuzwa kwa shilingi 3577.56.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 5, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.70 na kuuzwa kwa shilingi 21.75 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.42 na kuuzwa kwa shilingi 1.53.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.69 na kuuzwa kwa shilingi 0.73 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.91 na kuuzwa kwa shilingi 0.92.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2660.70 na kuuzwa kwa shilingi 2687.32 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8687.44 na kuuzwa kwa shilingi 8769.73.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3452.53 na kuuzwa kwa shilingi 3587.32 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.93 na kuuzwa kwa shilingi 1.99.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1915.00 na kuuzwa kwa shilingi 1934.01 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3084.16 na kuuzwa kwa shilingi 3114.64.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 249.31 na kuuzwa kwa shilingi 251.77 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 151.75 na kuuzwa kwa shilingi 153.25.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 724.41 na kuuzwa kwa shilingi 731.62 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 170.74 na kuuzwa kwa shilingi 172.25.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.51 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2905.03 na kuuzwa kwa shilingi 2931.32.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 5th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED724.4148731.6191728.016905-Nov-24
2ATS170.7374172.2502171.493805-Nov-24
3AUD1756.86221774.69951765.780805-Nov-24
4BEF58.240258.755758.497905-Nov-24
5BIF0.9140.91750.915705-Nov-24
6BWP199.2867201.817200.551805-Nov-24
7CAD1915.00141934.01221924.506805-Nov-24
8CHF3084.15783114.63843099.398105-Nov-24
9CNY375.0427378.6864376.864505-Nov-24
10CUC110.8626111.9713111.416905-Nov-24
11DEM1066.11491211.86471138.989805-Nov-24
12DKK389.1737393.031391.102405-Nov-24
13DZD20.090220.090220.090205-Nov-24
14ESP14.120414.24514.182705-Nov-24
15EUR2902.02872931.31772916.673205-Nov-24
16FIM395.1383398.6397396.88905-Nov-24
17FRF358.1654361.3336359.749505-Nov-24
18GBP3452.52823487.32223469.925205-Nov-24
19HKD342.2786345.697343.987805-Nov-24
20INR31.644531.940131.792305-Nov-24
21IQD2.03262.04982.041205-Nov-24
22IRR0.06340.0640.063705-Nov-24
23ITL1.21341.22411.218705-Nov-24
24JPY17.527717.701817.614705-Nov-24
25KES20.705920.751420.728605-Nov-24
26KRW1.93671.95521.94605-Nov-24
27KWD8687.44248769.73538728.588805-Nov-24
28MWK1.42561.53471.480205-Nov-24
29MYR608.8565614.2423611.549405-Nov-24
30MZM41.289641.637941.463805-Nov-24
31NAD151.7653153.2567152.51105-Nov-24
32NGN1.64421.61081.627505-Nov-24
33NLG1066.11491075.56931070.842105-Nov-24
34NOK242.9111245.2798244.095505-Nov-24
35NZD1594.02711611.04231602.534705-Nov-24
36PKR9.10229.67189.38705-Nov-24
37QAR730.2001737.0975733.648805-Nov-24
38RWF1.93291.99131.962105-Nov-24
39SAR708.444715.4141711.92905-Nov-24
40SDR3542.14073577.56213559.851405-Nov-24
41SEK249.3116251.7669250.539305-Nov-24
42SGD2021.50352041.56352031.533505-Nov-24
43TRY77.78778.010677.898805-Nov-24
44UGX0.69880.73320.71605-Nov-24
45USD2660.7032687.312674.006505-Nov-24
46GOLD7299106.45847373468.05117336287.254805-Nov-24
47ZAR151.7549153.2497152.502305-Nov-24
48ZMK96.3016100.08698.193805-Nov-24
49ZWD0.49790.5080.502905-Nov-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news