Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 7,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 717.75 na kuuzwa kwa shilingi 724.89 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 169.17 na kuuzwa kwa shilingi 170.66.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 7, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2818.91 na kuuzwa kwa shilingi 2847.63.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1829.36 na kuuzwa kwa shilingi 1847.98 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3516.16 na kuuzwa kwa shilingi 3501.32.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.51 na kuuzwa kwa shilingi 20.56 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.41 na kuuzwa kwa shilingi 1.52.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.69 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.90 na kuuzwa kwa shilingi 0.91.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2636.22 na kuuzwa kwa shilingi 2662.58 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8698.51 na kuuzwa kwa shilingi 8656.26.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3388.07 na kuuzwa kwa shilingi 3422.21 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.9 na kuuzwa kwa shilingi 1.97.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1893.43 na kuuzwa kwa shilingi 1912.22 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3010.07 na kuuzwa kwa shilingi 3139.49.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 242.01 na kuuzwa kwa shilingi 244.38 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 148.54 na kuuzwa kwa shilingi 149.96.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 7th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED717.7483724.8863721.317307-Nov-24
2ATS169.1662170.6651169.915607-Nov-24
3AUD1729.35891747.98381738.671307-Nov-24
4BEF57.704258.21557.959607-Nov-24
5BIF0.89930.88750.893407-Nov-24
6CAD1893.42661912.22351902.82507-Nov-24
7CHF3010.06833039.47493024.771607-Nov-24
8CNY367.2636370.8329369.048207-Nov-24
9DEM1056.3041200.71251128.508207-Nov-24
10DKK378.0879381.8359379.961907-Nov-24
11ESP13.990414.113914.052107-Nov-24
12EUR2818.90772847.62932833.268507-Nov-24
13FIM391.502394.9712393.236607-Nov-24
14FRF354.8693358.0084356.438907-Nov-24
15GBP3388.06713422.21413405.140607-Nov-24
16HKD339.0154342.3924340.703907-Nov-24
17INR31.269331.561431.415307-Nov-24
18ITL1.20221.21281.207507-Nov-24
19JPY17.082817.252517.167707-Nov-24
20KES20.515320.560520.537907-Nov-24
21KRW1.8791.89651.887707-Nov-24
22KWD8598.51218656.26328627.387607-Nov-24
23MWK1.41251.52121.466907-Nov-24
24MYR599.1404604.1706601.655507-Nov-24
25MZM40.922441.267541.094907-Nov-24
26NLG1056.3041065.67141060.987707-Nov-24
27NOK236.7697239.0515237.910607-Nov-24
28NZD1566.70431582.63761574.670907-Nov-24
29PKR9.01689.57939.298107-Nov-24
30RWF1.92461.97781.951207-Nov-24
31SAR701.775708.7173705.246207-Nov-24
32SDR3516.1623551.32363533.742807-Nov-24
33SEK242.0147244.3833243.19907-Nov-24
34SGD1974.25131993.84451984.047907-Nov-24
35UGX0.68860.72250.705607-Nov-24
36USD2636.21782662.582649.398907-Nov-24
37GOLD7077480.3487149613.0687113546.70807-Nov-24
38ZAR148.5394149.9589149.249107-Nov-24
39ZMW94.446298.159696.302907-Nov-24
40ZWD0.49330.50330.498307-Nov-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news