Minada ya Masoko ya mazao ya KAHAWA, KOROSHO, CHAI, KOKOA na MBAAZI inaendelea kwa wiki hii chini ya Vyama vya Ushirika vya KYECU-Mbeya, MAMCU na TANECU - Mtwara, MOFACU-Morogoro, RIVACU-Manyara, KDCU na KCU -Kagera, TAMCU-Ruvuma, CORECU-Pwani na LINDI MWAMBAO na RUNALI-Lindi.

Tags
Ghalani
Habari
Live updates
Soko la Bidhaa Tanzania (TMX)
Tanzania Cooperative Development Commission (TCDC)
TCDC Tanzania
Tume ya Maendeleo ya Ushirika