Magazeti leo Novemba 1,2024

Niliachwa na Boyfriend kisa navuta Sigara!

MOROGORO-Unajua ni wasichana wachache sana ambao huvuta sigara, mara nyingi wanaovuta sigara kwa wengi ni wanaume, hata mwanamke anayevuta sigara hawezi kuvuta kwa wakati mrefu sana, kuna kipindi lazima ataacha tu.

Jina langu ni Fetty kukotokea Morogoro, nikiwa na umri wa miaka 17 wakati namalizia shule ya pili, nilianza kuvuta sigara kufuatia kundi la marafiki niliokuwa nao, wengi walikuwa akivuta.

Hata nilipomaliza shule niliendelea na mtindo huo wa kuvuta sigari ingawa ilikuwa kwa siri sana, hata nyumbani kwetu hakuna aliyeweza kujua, hata ndugu zangu hakuweza kujua.

Nilipofikisha umri wa miaka 23 nilikuwa na Boyfriend wangu ambaye tulipenda sana, aliahidi kunioa maana alivutia na mimi, alifikia hatua ya kuja kujitambulisha nyumbani kwetu, nami akanipeleka nyumbani kwao.

Wakati imebakia miezi kadhaa tuweze kufunga ndoa, siku moja alikuta sigara katika pochi yangu, aliniuliza ni za nani, nilijitetea kuwa ni za rafiki yangu.

Akaniambia amekuwa na wasiwasi kuwa mimi huvuta sigara maana kila ambapo angenibusu angesikia harufu hiyo lakini hakuweza kufikiria kama naweza kufanya jambo kama hilo.

Nilimbishia kwa asilimia 100 kuwa sivuti sigara, basi alinichukua hadi Maabara, nikapimwa na kugundulika ni kweli nimekuwa nikivuta Sigara, na tangu siku hiyo mahusiano yetu yakawa yamevunjika.

Siwezi kuimbuka siku hiyo, kwa hakika niliumia sana, nililia sana, hali hiyo ilinifanya niendelee kuvuta sigara sana nikiamini kuwa ndio njia pekee ya kuondoa mawazo.

Ilifikia hatua nikachoka hali hiyo, ndipo nikaanza kutafuta njia ya kuacha sigara, nashukuru niliweza kupata tiba kutoka kwa Dr Bokko, tangu wakati huo niliweza kuacha moja kwa moja kuvuta Sigara.

Siwezi kumsahau rafiki yangu Leah ambaye ndiye alinipatia namba za Dr Bokko ambazo ni +255618536050, hakika hapo ndipo changamoto yangu iliweza kupata utatuzi.

Kwa sasa mimi ni msichana mzuri tu ambaye sivuti sigara na sasa ninaendesha maisha yangu vizuri bila ya tabu yoyote ile, nipo na mwanaume ambaye tunapenda sana na yeye ananipenda pia na siku sio nyingi tutafunga ndoa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news