DAR-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametaja timu ya wataalamu 19 watakaounda Tume ya Rais ya Kuchunguza majengo yote ya Kariakoo ambayo itaongozwa na Mkuu wa Menejimenti ya Maafa katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali Hosea Ndagala.



Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo