NEW YORK-Waendesha mashtaka nchini Marekani wamesema, nguli wa miondoko ya muziki wa Rap na mtayarishaji wa muziki Sean Didy Combs anavunja sheria za gereza kwa kuwasiliana na mashahidi wa kesi yake kinyume cha sheria.
PDidy anatuhumiwa kwa kushawishi mashahidi kwa kutumia simu za wafungwa wengine huku akiendelea kutumia simu za watu wengine ambazo haziko kwenye orodha ya mawasiliano iliyoidhinishwa.(BBC).
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo