DAR-Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,Novemba 20, 2024 amekutana na Waziri wa Elimu, Utafiti na Ubunifu, wa Uswisi Bi. Martina Hirayama ambapo wamezungumzia ushirikiano katika masuala ya elimu ya amali, utafiti na ubunifu
Waziri Mkenda amesema kuwa Serikali imejizatiti kutekeleza mageuzi yanayolenga kutoa elimu ujuzi ili kuwezesha Taifa kupata wahitimu mahiri kuendana na mahitahi ya ujuzi katika soko.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo