TANGA-Katibu Mkuu wa Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo amezindua rasmi kampeni za wagombea wa chama hicho kuelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa Kata ya Kwedukwazu wilayani Handeni huku akitoa wito kwa viongozi wa chama hicho hapa nchini wafanye siasa za kistaarabu ambazo haziendi kutweza utu wa mtu.
Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu ambapo vyama vya siasa ambazo zimeweka wagombea zitachuana ili kuweza kuwapata washindi ambao wataongoza Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji na wajumbe wa mitaa katika maeneo mbalimbali nchini.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo