SONGWE-Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Jeshi la Polisi limemzuia Mwenyekiti wa chama Taifa,Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mlowo na kuwatawanya wananchi waliokuwa wamekusanyika kumsikiliza.Kwa mujibu wa ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa Novemba 22, 2024 ambapo viongozi wa CHADEMA walizungumza na viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na kukubaliana kuwa muda wa asubuhi mwenyekiti wa Chama Taifa azungumze na wananchi wa Mlowo.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo