DODOMA-Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza Johari amehudhuria na kufuatilia mijadala mbalimbali wakati wa Mkutano wa Kumi na Saba, Kikao cha Nane cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tags
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Habari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri