ARUSHA-Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari ameshiriki Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mkutano huo umefanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 27 hadi 28 Novemba, 2024.
Tags
Afrika Mashariki
Habari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri