Naibu Wakili Mkuu wa Serikali afungua mafunzo ya uadilifu

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akizungumza na wajumbe wa kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua mafunzo kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya Nne yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Wakili wa Serikali Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Uadilifu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Vivian Method akizungumza na wajumbe wa Kamati hiyo wakati akimkaribisha Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) kufungua mafunzo kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya Nne yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa na wakufunzi wa mafunzo kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya Nne yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa na wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mafunzo kwa wajumbe wa kamati ya Uadilifu ya Ofisi hiyo kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya Nne yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa na wajumbe wa Kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mafunzo kwa wajumbe wa kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya Nne yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa na kamati ya maandalizi baada ya kufungua mafunzo kwa wajumbe wa kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya Nne yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti na Kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo kwa wajumbe hao kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya Nne yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news