ARUSHA-Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshugulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mheshimiwa Ummy Nderiananga amewasili kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha na kupokelewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo Missaille Albino Musa leo Novemba 4, 2024.